


Eneo hili lipo katikati ya Jiji la Dar es Salaam ni karibu sana pia na maeneo muhimu ya soko kuu kabidha la bidhaa nchini, lakini hebu cheki maji yanavyotitika h
Na Edmund Salaho - Tanga Kamishna wa Uhifadhi TANAPA, CPA Musa Nassoro Kuji ambaye pia ni mlezi wa HIFADHI SACCOS LTD ametoa wito kwa watumi...
1 comment:
Wenzenu wa Ulaya na USA, hawawaletei picha mbovu za kwao. Lakini ninyi mnajikita kutoa na kujitangaza vitu vyenu vibovu ambavyo ni aibu kwenu wenyewe.
Mnamwonyesha nani kama sio kujiaibisha wenyewe? Local News Paper za Tanzania, zipo tele kwa kuifanya kazi hii, ili kuwashtua viongozi wahusika wa Tanzania.
Sasa ninyi siku hizi mmechukua nafasi ya magazeti hayo? Uandishi wa habari sio kila mtu aufanye!!!
It's Great To Be Black=Blackmannen
Post a Comment