Tuesday, November 03, 2009

JK aifariji familia ya Ng'itu



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa aliyekuwa mbunge wa Ruangwa CCM marehemu Sigfrid Ng'itu wakati Rais Kikwete alipokwenda nyumbani kwa marehemu Mbezi beach Dar es Salaam kuifariji familia yake.Marehemu Ng'itu alifariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya taifa Muhimbili alikokuwa amelazwa tangu Septemba 15 mwaka huu akisumbuliwa na ugonjwa wa kiharusi.

No comments:

KAMISHNA KUJI ATOA WITO TANAPA KUWA NA SACCOS MOJA

Na Edmund Salaho - Tanga Kamishna wa Uhifadhi TANAPA, CPA Musa Nassoro Kuji ambaye pia ni mlezi wa HIFADHI SACCOS LTD ametoa wito kwa watumi...