Wednesday, September 24, 2008

Raila ndani ya nyumba


Waziri Mkuu wa Kenya Raila Odinga akipita mbele ya gwaride maalum lililoandaliwa kwa ajili yake alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl. JK Nyerere Dar es Salaam jana. Kulia kwa Odinga ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke Abdalah Kihato.




Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mgeni Wake Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odingawakiwa katika picha ya pamoja na na wajumbe wa nchi mbili hizo baada ya mazungumzoyao kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar es salaam September24, 2008. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...