Friday, September 26, 2008

Mtikila na siasa zake za maji taka

Mchungaji Christopher Mtikila akiwa hospitalini baada ya kutibiwa jeraha na mwenyekiti wa chama hjichowilayani Tarime Christian Nyakihita akionyesha jiwe na shati la mtikila ambalolilikuwa limelowa damu.(Picha na Frederick Katulanda)

1 comment:

Anonymous said...

Ropa Ropa mwisho utaropoka.
Ndio yaliyomkuta ndugu yetu

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...