Friday, September 19, 2008

kuni


Mkazi wa Manispaa ya Morogoro eneo la Kihonda Mbuyuni akiwa amebeba makuti ambayo anatumia kama kuni ili kuweza kutumia kupikia chakula, kutokana na nishati ya mkaa kupanda bei kutoka sh 15000 hadi kufikia kiasi cha sh 20000
baadhi ya wananchi wa kipato cha chini wanashindwa kumudu ghalama hizo.(Picha na Juma Ahmadi, Morogoro),

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...