Sunday, September 14, 2008

hatariii


Mwendesha pikipiki akiwa amepakia mwanamke na mtoto bila ya kuwapatia na kofia za usalama kama walivyokutwa Tabata Relini Dar es Salaam jana, jambo ni hatari kwa abiria hao endapo patatokea tatizo la ajali. Picha na Emmanuel Herman

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...