Sunday, December 17, 2006

Solidarity forever



Wanaharakati tunaweza kuwaita wakuu wakiwa katika mstari wa mbele kabisa katika maandamano ya kudai haki watu weusi ambayo inaonekana kukandamizwa siku hadi siku hapa walikuwa wakipinga mauaji ya Sean Bell. Hakiiiiii.

4 comments:

mloyi said...

Tupo pamoja nao kupinga vitendo wanavyofanyiwa, lakini kwa watu wa darfur inabidi tushikamane nao zaidi sio tunawaacha yatima kama sasa.

John Mwaipopo said...

Mloyi yaonesha ni jinsi gani unaguswa na udhalimu unaoendelea Darfur. It's time we tell Al-Bashir pointblank how we feel about our brethren. Viongozi wetu hawawezi, Wanamuogopa.

Charahani tatizo la black Americans ni kuwa kwa kuwa walishaambiwa na historia kuwa wao waliijenga Marekani, basi hawataki kufanya kazi. "It's payback time" kwao. Matokeo yake wanoenda shule wachache ingawaje zipo, wanaofanya kazi wachache, ingawaje zipo. Wanaokula madawa ya kulevya wengi, ingawaje inakatazwa. Na mauzauza mengi tu.

Vichwani mwao wana mtazamo kuwa wanaonewa kila pahala, ingawaje sio kweli sana.

Haya inapokuja kwenye movement kama hizo ndio utacheka. They talk the talk but they donn't walk the walk.

Mungu wabariki waswahili wa Marekani.

NDABULI said...

Mzee wa Mshitu tangu umeondoka naona mwananchi hawaupload gazeti hiyo ni kazi yako au wewe ndio unasisitiza au inakuwaje?

Vempin Media Tanzania said...

Ndabuli nitawaeleza wanaoupload mtandao wetu wapo ila kuna matata madogo nina hakika watarekebisha tuuuu.
Mwaipopo ni kweli bwana nimeliona hili la hawa ndugu zetu weusi wa Marekani wana matata saana wanatuchukia hata sisi weusi wenzao.

Kuhusu suala la unalosema bwana Mloyi la Darfur kweli ni la muhimu na nimeshaona washikaji kule NY wamelibaka na sasa kuna kampeni kali kiasin kwamba hata mabasi yamepachikwa mabango ya kulaani na kama sikosei kuna mamilioni ya dola yamechangwa.

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...