Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo akielezea sifa za eneo la Vigungu kwa Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Dk. Maulidi Banyani wakati msafara
huo wa Mkurugenzi Mkuu ulipokuwa
katika eneo la Vigungu kunakotarajiwa kupimwa kwaajili ya uendelezaji wa
makazi na shughuli mchanganyiko. Eneo hilo liko katika Barabara kuu
iendayo Kibaha na eneo limetenganishwa na viwanda kwa barabara hiyo
iendayo Kibaha. Matangi
mawili ya kuhifadhia maji, yenye uwezo wa lita milioni tano, yatajengwa
katika maeneo ya karibu na hapo, kwa ajili ya viwanda na makazi mapya;
na Minarani kwa ajili ya mji wa Kisarawe kwa gharama ya Sh bilioni 10.
Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo.
Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Dk. Maulidi Banyani akitia
saini kwenye kitabu
cha wageni cha Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe alipotembelea ofisi
hizo kabla ya kutembelea baadhi ya fursa za uwekezaji wilayani Kisarawe
ambapo Shirika la Nyumba la Taifa linaweza kushirikiana na Wilaya hiyo
katika uwekezaji maeneo
yaliyotembelewa ni pamoja na eneo la Community Hall, Stendi ya zamani
na eneo kunakotarajiwa kuanza kupimwa viwanja vya makazi na shughuli
mchanganyiko la Vigungu lililopo nje kidogo ya mji wa Kisarawe.
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo akizungumza na ujumbe wa Shirika la Nyumba la Taifa, ulioongozwa na Mkurugenzi Mkuu
wa Shirika la Nyumba la Taifa, Dk. Maulidi Banyani.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Kisarawe, Mtela Mwampamba akiukaribisha ujumbe kutoka NHC na kisha kuwatambulisha maafisa watendaji
wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe.
Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Maulidi Banyani akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo
kuelekea eneo la Community Hall lililopo jirani kabisa na zilipo Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.
Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Maulidi Banyani akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo
walipotembelea eneo la Stendi ya zamani Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani leo.
Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Maulidi Banyani akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo
walipotembelea eneo la Stendi ya zamani Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani leo.
Katibu
Tawala wa Wilaya ya Kisarawe, Mtela Mwampamba akielekeza jambo msafara
huo ulipokuwa katika eneo la Vigungu kunakotarajiwa
kupimwa kwaajili ya uendelezaji wa makazi na shughuli mchanganyiko eneo
hilo liko katika Barabara kuu iendayo Kibaha na eneo limetenganishwa na
viwanda kwa barabara hiyo iendayo Kibaha. Matangi
mawili ya kuhifadhia maji, yenye uwezo wa lita milioni tano, yatajengwa
katika maeneo ya hayo, kwa ajili ya viwandana makazi mapya; na Minarani
kwa ajili ya mji wa Kisarawe kwa gharama ya Sh bilioni 10.
Eneo la Vigungu
kunakotarajiwa kupimwa kwaajili ya uendelezaji wa makazi
na shughuli mchanganyiko eneo hilo liko katika Barabara kuu iendayo
Kibaha na eneo limetenganishwa na viwanda kwa barabara hiyo iendayo
Kibaha. Matangi
mawili ya kuhifadhia maji, yenye uwezo wa lita milioni tano, yatajengwa
katika maeneo yaVigungu, kwa ajili ya viwandana makazi mapya; na
Minaranikwa ajili ya mji wa Kisarawe kwagharama ya Sh bilioni 10.
Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu
wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Dk. Maulidi Banyani na ujumbe wake akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa
Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo kwenye eneo la Vigungu wakati msafara
huo wa Mkurugenzi Mkuu ulipokuwa katika eneo la Vigungu kunakotarajiwa
kupimwa kwaajili ya uendelezaji wa makazi na shughuli mchanganyiko.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Dk. Maulidi Banyani na ujumbe wake akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa
Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo kwenye eneo la Vigungu wakati msafara
huo wa Mkurugenzi Mkuu ulipokuwa katika eneo la Vigungu kunakotarajiwa
kupimwa kwaajili ya uendelezaji wa makazi na shughuli mchanganyiko.
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo akizungumza na ujumbe wa Shirika la Nyumba la Taifa, ulioongozwa na Mkurugenzi Mkuu
wa Shirika la Nyumba la Taifa, Dk. Maulidi Banyani.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Dk. Maulidi Banyani na ujumbe wake akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa
Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo mbele ya ofisi ya Mkuu wa Wilaya.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Dk. Maulidi Banyani akijadiliana jambo na Mkuu wa
Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo mbele ya ofisi ya Mkuu wa Wilaya.
Kaimu Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo.
Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo.
Comments