Friday, November 16, 2018

MKURUGENZI MKUU WA NHC AKAGUA ENEO LA KITOVU CHA MJI CHA SAFARI CITY

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Dk. Maulidi Banyani na Timu ya Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakikagua eneo la barabara ya Afrika Mashariki inayopita karibu na mradi wa Safari City inayoendelea kujengwa kwa kasi na hivyo kuongeza thamani ya mradi huo utakaounganiushwa na barabara hiyo kwa daraja.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Dk. Maulidi Banyani na Timu ya Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakikagua eneo la barabara ya Afrika Mashariki inayopita karibu na mradi wa Safari City inayoendelea kujengwa kwa kasi na hivyo kuongeza thamani ya mradi huo utakaounganiushwa na barabara hiyo kwa daraja. wakati wa  makabidhiano hayo ya hati miliki na kibali cha ujenzi wa Jengo la makao makuu ya kanda ya mamlaka hiyo hafla hiyo imefanyika jana.

Mlima Meru unavyoonekana kwa mbali unapokuwa katika eneo Safari City 
Baadhi ya nyumba zilizoanza kujengwa na waendelezaji wenza kwenye eneo la Safari City. wakati wa  makabidhiano hayo ya hati miliki na kibali cha ujenzi wa Jengo la makao makuu ya kanda ya mamlaka hiyo hafla hiyo imefanyika jana.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Dk. Maulidi Banyani akikagua eneo la barabara ya Afrika Mashariki inayopita karibu na mradi wa Safari City inayoendelea kujengwa kwa kasi na hivyo kuongeza thamani ya mradi huo utakaounganiushwa na barabara hiyo kwa daraja. 

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Dk. Maulidi Banyani na Timu ya Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakiangalia ramani katika eneo la barabara ya Afrika Mashariki inayopita karibu na mradi wa Safari City inayoendelea kujengwa kwa kasi na hivyo kuongeza thamani ya mradi huo utakaounganiushwa na barabara hiyo kwa daraja. 
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Dk. Maulidi Banyani pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira jiji la Arusha (AUWSA) Mhandisi Humphrey Mwiyombela,  na Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira jiji la Arusha (AUWSA) Mhandisi Dk Richard Masika wakisimika mabati kuashiria kuanza kwa ujenzi wa mradi wa makao makuu ya kanda ya AUWSA eneo la SAfari City

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Dk. Maulidi Banyani na Timu ya Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakikagua eneo la Safari City.

No comments:

TUME YA MADINI YAAINISHA MIPANGO YA KUWAWEZESHA WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI

Uanzishwaji wa masoko ya madini wapunguza utoroshwaji wa madini Elimu yatolewa kwa wachimbaji wadogo wa madini CHUNYA Ikiwa ni mkakati wa  k...