Saturday, November 17, 2018

MKURUGENZI MKUU WA NHC AHIMIZA UFANISI KATIKA UTENDAJI KAZI



 Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Maulidi Banyani akisisitiza jambo alipotembelea ofisi hizo kabla ya kutembelea baadhi ya miradi ya ubia inayotekelezwa kati ya NHC na wabia wengine. Akiwa mkoani humo Mkurugenzi Mkuu amesisitiza uwajibikaji kwa wafanyakazi wote na kwamba kuanzia sasa ufanisi utapimwa kila siku na kwamba matengenezo yote yanayofanyika mikoani yazingatie thamani ya fedha na kupata idhini ya wahusika.
  Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Maulidi Banyani akitia saini kwenye kitabu cha wageni cha Ofisi za  Shirika la Nyumba mkoani Kilimanjaro alipotembelea ofisi hizo kabla ya kutembelea baadhi ya miradi ya ubia inayotekelezwa kati ya NHC na wabia wengine.
Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba mkoa wa Kilimanjaro wakifuatilia taarifa iliyokuwa ikitolewa na Meneja wa NHC Mkoa wa Kilimanjaro, Juma Kiaramba kwa  Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Maulidi Banyani alipotembelea ofisi hizo kabla ya kutembelea baadhi ya miradi ya ubia inayotekelezwa kati ya NHC na wabia wengine.
  Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Nyumba mkoa wa Kilimanjaro wakifuatilia taarifa iliyokuwa ikitolewa na Meneja wa NHC Mkoa wa Kilimanjaro, Juma Kiaramba kwa  Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Maulidi Banyani alipotembelea ofisi hizo kabla ya kutembelea baadhi ya miradi ya ubia inayotekelezwa kati ya NHC na wabia wengine.

  Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Maulidi Banyani akisisitiza jambo alipotembelea ofisi hizo kabla ya kutembelea baadhi ya miradi ya ubia inayotekelezwa kati ya NHC na wabia wengine.
 Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba mkoa wa Kilimanjaro wakifuatilia kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Maulidi Banyani alipotembelea ofisi hizo kabla ya kutembelea baadhi ya miradi ya ubia inayotekelezwa kati ya NHC na wabia wengine.
 Picha ya pamoja ya Mkurugenzi Mkuu na wafanyakazi wa NHC mkoa wa Kilimanjaro na baadhi ya Makaimu Wakurugenzi wa Shirika na watendaji wengine wakati Mkurugenzi Mkuu alipofanya ziara ofisini hapo leo.
  Picha ya pamoja ya Mkurugenzi Mkuu na wafanyakazi wa NHC mkoa wa Kilimanjaro na baadhi ya Makaimu Wakurugenzi wa Shirika na watendaji wengine wakati Mkurugenzi Mkuu alipofanya ziara ofisini hapo leo.

 Mojawapo wa nyumba za miradi ya Ubia iliyopo mjini Moshi kama inayoonekana pichani.
 
Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Maulidi Banyani akijadili jambo na Meneja wa NHC mkoa wa Kilimanjaro Juma Kiaramba alipotembelea baadhi ya miradi ya ubia inayotekelezwa kati ya NHC na wabia wengine.







Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Maulidi Banyani akijadili jambo alipotembelea baadhi ya miradi ya ubia inayotekelezwa kati ya NHC na wabia wengine.

 Mojawapo wa jengo la Ubia lililopo mjini Moshi kama inayoonekana pichani.


Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Maulidi Banyani akijadili jambo alipotembelea baadhi ya miradi ya ubia inayotekelezwa kati ya NHC na wabia wengine.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...