Friday, November 16, 2018

MKURUGENZI MKUU WA NHC ATEMBELEA MIRADI YA UBIA YA NHC MKOANI ARUSHA

 Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Maulidi Banyani na jopo la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakisikiliza maelezo ya Meneja wa Miradi ya Ubia wa NHC, Subira Gudadi wakati alipotembelea kwenye jengo la Mradi wa Ubia kati ya NHC na Trio Hardware Limited lililoko barabara ya Boma jijini Arusha. Mkurugenzi Mkuu hajaridhishwa na mwenedo wa miradi hiyo na ameagiza mikataba yote ya miradi ya ubia ipitiwe kwa makini ili kufahamu mapungufu na maboresho yanayotakiwa kufanyika,
Jengo la Mradi wa Ubia kati ya NHC na Trio Hardware Limited lililoko barabara ya Boma jijini Arusha.
 Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Banyani akisikiliza maelezo ya Meneja wa Miradi ya Ubia wa NHC , Subira Gudadi wakati alipotembelea kwenye Mradi wa Ubia kati ya NHC na Meleki Investment Limited kiwanja nambari 5 hadi 8 N Unga jijini Arusha.
Jengo la Mradi wa Ubia lililopo kiwanja nambari 3 kitalu nambari N barabara ya Sokoine jijini Arusha.
 Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Banyani akisikiliza maelezo ya Meneja wa Miradi ya Ubia wa NHC , Subira Gudadi wakati alipotembelea ndani ya Jengo la Mradi wa Ubia lililopo kiwanja nambari 3 kitalu nambari N barabara ya Sokoine jijini Arusha..
 Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Banyani na msafara wake wakielekea katika eneo la mradi wa ubia wa Fiona Tanzania Limited uliopo katika kiwanja  nambari 35 E  Block J kwenye makutano ya barabara za Sokoine na Swahili jijini Arusha.
Jengo la mradi wa ubia wa Fiona Tanzania Limited uliopo katika kiwanja  nambari 35 E  Block J kwenye makutano ya barabara za Sokoine na Swahili jijini Arusha.
 Jengo la mradi wa ubia kati ya Shirika la Nyumba la Taifa na Realtor  (EA) Limited lililoko barabara ya Uhuru jijini Arusha.
 Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Banyani akisikiliza maelezo ya Meneja wa NHC Mkoa wa Arusha, Ladislaus Bamanyisa wakati alipotembelea Shirika la Nyumba la Taifa na Realtor  (EA) Limited lililoko barabara ya Uhuru jijini Arusha.
Jengo la mradi wa ubia wa kituo cha mafuta kati ya Shirika la Nyumba la Taifa na Njake Hotels and Lodges Ltd plot No.16-17 Block E Goliondoi Road jijini Arusha.

 Jengo la mradi wa ubia wa Tina Holdings Ltd Plot No. 38/E kwenye makutano ya mitaa ya Joel Maeda na India  jijini Arusha.

 Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Banyani akitembelea eneo la wazi kulikovunjwa jengo kuu kuu la NHC na kukusudiwa kuanzishwa mradi wa ubia kati ya Shirika la Nyumba la Taifa na mbia mwenza Gulamhussein Brothers Limited lililopo kwenye plot nambari 22 E na 31 E Goliondoai Road, jijini Arusha.
  Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Banyani akitembelea eneo la wazi kulikovunjwa jengo kuu kuu la NHC na kukusudiwa kuanzishwa mradi wa ubia kati ya Shirika la Nyumba la Taifa na mbia mwenza Gulamhussein Brothers Limited lililopo kwenye plot nambari 22 E na 31 E Goliondoi Road, jijini Arusha.
  Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Banyani akitembelea eneo la wazi kulikovunjwa jengo kuu kuu la NHC na kukusudiwa kuanzishwa mradi wa ubia kati ya Shirika la Nyumba la Taifa na mbia mwenza Gulamhussein Brothers Limited lililopo kwenye plot nambari 22 E na 31 E Goliondoi Road, jijini Arusha.
 Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Banyani akitembelea jengo la mradi wa ubia wa hoteli kati ya NHC na Palace Hotel Limited  Plot nambari 39 A& B, Block E Boma Road, jijini Arusha.
 Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Banyani akisikiliza maelezo ya Meneja wa Miradi ya Ubia wa NHC , Subira Gudadi wakati akitembelea jengo la mradi wa ubia wa hoteli kati ya NHC na Palace Hotel Limited  Plot nambari 39 A& B, Block E Boma Road, jijini Arusha.

Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Banyani akitembelea eneo la wazi la Sanawari la ubia kati ya Shirika la Nyumba la Taifa na mbia Arusha Grand Apartments plot nambari 20 Block  LDA Old Moshi / Arusha Road , jijini Arusha.
Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Banyani akitembelea eneo la mradi wa ubia uliofutwa uliokuwa kati ya NHC na Dar Express LTD plot no 21 Kituoni Road , jijini Arusha.

 Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Dk. Banyani akitembelea majengo ya nyumba za makazi Levolosi Arusha 

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...