Mazoezi ya viungo yakiendelea baada ya matembezi ya hisani yaliyofanyika kutokea Chuo Kikuu Ardhi mpaka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na kurudi Chuo Kikuu Ardhi.

Matembezi ya Hisani ya kilomita tano (5) ya Kusanyiko la Waliowahi kuhitimu na wanaokitakia mema Chuo Kikuu cha Ardhi yamefanyika leo (Jumamosi) matembezi yameanza saa kumi na mbili asubuhi kwenye jengo la utawala la Chuo Kikuu Ardhi hadi Container na Dispensary Chuo kikuu DSM na kurudi ARU Washiriki kutoka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wameshiriki kikamilifu Mkurugenzi Mkuu Dk. Maulidi Banyani ameagiza kwamba mazoezi na matembezi ya namna hii sasa yatakuwa ni lazima kila mwezi mara moja na itaitishwa roll call ili kuhakikisha ushiriki na kuimarisha afya za wafanyakazi.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment