Friday, March 09, 2018

WANAWAKE NHC WAUNGANA NA MAELFU YA WENZAO KUADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akihutubua maelfu ya wanawake wa mkoa wa Dar es Salaam wakati wa kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam Machi 8, 2018.
Wafanyakazi wanawake wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC wakiwa na bango lao wakati wa maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam Machi 8, 2018. Maadhimisho hayo yaliongozwa na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli huku akiziomba asasi za kiraia, na watu binafsi kushirikiana na serikali kuwapatia kinamama mbinu mbalimbali, mafunzo, mitaji na kuwatafutia masoko ya bidhaa zao.
 Wafanyakazi wanawake wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC wakiwa na bango lao wakati wa maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam l Machi 8, 2018.
 Wafanyakazi wanawake wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC wakiwa na bango lao wakati wa maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam Machi 8, 2018.
Sehemu ya wafanyakazi wanawake wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC wakiwa katika  maadhimisho ya kilele cha Siku ya Wanawake Duniani iliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam Machi 8, 2018.

 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akipongezwa na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mhe. Kisare Makori baada ya kuhutubua wanawake wa mkoa wa Dar es salaam kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam  Machi 8, 2018. Katikati ni  Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Peter Makakala .
  Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli pamoja na viongozi wengine  katika picha ya pamoja na wawakilisji wa wajasiriamali wanawake wa mkoa wa Dar es salaam wakati wa kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam Machi 8, 2018.
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akitembelea maonesho ya bidhaa mbalimbali za wajasiriamali  wanawake wa mkoa wa Dar es salaam wakati wa kuadhimisha kilele cha Siku ya Wanawake Duniani katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam Machi 8, 2018.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...