Waziri
wa Nishati Dkt Medard Kalemani akizindua upatikanajiwa huduma ya umeme
chini ya mradi wa usambazaji wa umeme vijiji niawamu ya tatu (REA III)
katika Kijii ch a Magumbani Kitongoji chaMbuluni Kata ya Moa wilayani
Mkinga
Waziri
wa Nishati Dkt Medard Kalemani akizindua upatikanaji wa huduma ya umeme
chini ya mradi wa usambazaji wa umeme vijiji niawamu ya tatu (REA III)
katika Kijii cha Magumbani Kitongoji chaMbuluni Kata ya Moa wilayani
Mkinga kulia ni Mkuu wa wilaya ya Mkinga,Y ona Mark na Mwenyekiti wa
Kijiji cha Mbuluni Selemani Omari
Waziri
wa Nishati Dkt Medard Kalemani akizungumza na wananchi mara baada ya
kuzindua upatikanajiwa huduma ya umeme chini ya mradi wa usambazaji wa
umeme vijiji niawamu ya tatu (REA III) katika Kijii cha Magumbani
Kitongoji chaMbuluni Kata ya Moa wilayani Mkinga
Waziri
wa Nishati Dkt Medard Kalemani akizungumza na wananchi mara baada ya
kuzindua upatikanajiwa huduma ya umeme chini ya mradi wa usambazaji wa
umeme vijiji niawamu ya tatu (REA III) katika Kijii cha Magumbani
Kitongoji chaMbuluni Kata ya Moa wilayani Mkinga
Waziri
wa Nishati Dkt Medard Kalemani katikati akiteta jambo mara baada ya
kuzindua upatikanajiwa huduma ya umeme chini ya mradi wa usambazaji wa
umeme vijiji niawamu ya tatu (REA III) katika Kijii cha Magumban i
Kitongoji chaMbuluni Kata ya Moa wilayani Mkinga kulia ni Mkuu wa wilaya
ya Mkinga Yona Mark
Waziri
wa Nishati Dkt Medard Kalemani akisalimiana na wananchi mara baada ya
kuzindua upatikanaji wa huduma ya umeme chini ya mradi wa usambazaji wa
umeme vijiji ni awamu ya tatu (REA III) katika Kijii cha Magumbani
Kitongoji chaMbuluni Kata ya Moa wilayani Mkinga
Waziri
wa Nishati Dkt Medard Kalemani akizungumza na waataalamu mbalimbali
wanaotekeleza mradi wa rea awamu ya tatu mara baada ya kuzindua
upatikanajiwa huduma ya umeme chini ya mradi wa usambazaji wa umeme
vijiji niawamu ya tatu (REA III) katika Kijii cha Magumbani Kitongoji
chaMbuluni Kata ya Moa wilayani Mkinga
Waziri
wa Nishati Dkt Medard Kalemani akiwa kwenye picha ya pamoja mara baada
ya kuzindua upatikanajiwa huduma ya umeme chini ya mradi wa usambazaji
wa umeme vijiji niawamu ya tatu (REA III) katika Kijii cha Magumbani
Kitongoji chaMbuluni Kata ya Moa wilayani Mkinga kulia ni Mkuu wa wilaya
ya Mkinga Yona Mark
Ssehemu ya wakandarasi wakifuatilia uzinduzi huo
WAZIRI
wa Nishati Dkt Medard Kalemani amewaagiza wa wakala wa nishati vijijini
(REA) nchini kuhakikisha wanaunganisha umeme kwenye vijiji vitatu kila
wiki ili kuweza kutoa fursa ya wananchi kufikiwa na huduma hiyo muhimu.
Dkt
Kalemani aliyasema hayo leo wakati akizindua upatikanaji wa huduma ya
umeme chini ya mradi wa usambazaji wa umeme vijijini awamu ya tatu (REA
III) katika kijiji cha Magumbani kitongoji cha Mbuluni Kata ya Moa
wilayani Mkinga mkoani Tanga.
Uzinduzi
huo ulikwenda sambamba na uwashwaji wa huduma ya umeme katika Kijiji
hicho ili kuwawezesha kupata huduma hiyo ilikuwa haipo awali katika eneo
hilo,Alisema
kwani hayo ndio malengo waliowapa ikiwa ni mpango mkakati wa kuha
kikisha wanafikia malengo ya kuwapelekea umeme watanzania wote ifikapo
mwaka 2021/2022 ili waweze kunufaika kupitia huduma hiyo .
“Leo
tutaangalia mlipowasha lakini niwaagize wakandarasi tunataka kuona kila
wiki vijiji vitatu vinawashwa umeme kwani wananchi wanauhitaji mkubwa wa
kufikiwa na huduma hiyo hivyo hakikisheni hilo mnalitilia mkazo mkubwa
“Alisema.
Hata
hivyo alisema bado kuna changamoto ya wananchi kutapeliwa na mafundi
ambao wamekuwa wakiwabambikia bei kuwaambia walipe kidogo kabla ya
kulipia 27000 ambazo wanapaswa kulipa jambo ambalo ametaka likomeshwe
haraka.
“Mameneja,
Wakandarasi tuna changamoto wananchi kutapeliwa kuna tabia imezuka
mafundi wanawabambikia bei wanaawaambia walipe kidogo kabla ya kulipa
elfu 27000 labda niwaambie tu kwamba mtu wa namna hiyo atakayepatikana
watakaobainika watachukuliwa hatua kali za kisheria”Alisema Waziri
huyo.
Alisema
mradi huo utakwenda kila kijiji, kitongoji na nyumba kwa nyumba huku
akieleza hata kama nyumba unayokaa utaona hakuna sehemu ya kutundukia
waya weka hata kwenye mti ili mradi uweze kufikiwa na huduma hiyo.
Aidha
alisema kusudio lingine ambalo alilojia ni kuweka msukumo kwa
wakandarasi wafanye kazi usiku na mchana ili kuweza kumaliza mradi huo
kwa wakati ili walengwa waweze kunufaika nao. Waziri
huyo pia aliwataka wananchi kuendelea kutunza miundombinu ya umeme
ikiwemo Transfoma kwa kuhakikisha kutokuiba mafuta kwa lengo la
kuwawezesha kunufaika na huduma hiyo muhimu kwa ukuaji wa maendeleo.
“Ndugu
zangu tukishirikiana kuilinda miudombinu ya umeme kwani serikali
inatumia gharama kubwa kuifikisha kwenye maeneo yenu lakini pia Diwani
wa Kata hii anzeni kutenga fedha kwa ajili ya kuunganisha kwenye taasisi
za umma kwenye maeneo yenu”Alisema(Habari kwa Hisani ya Blog ya Kijamii
ya Tanga Raha)
No comments:
Post a Comment