Mkurugenzi wa Ubunifu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Issack Peter akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Empower, Miranda Naiman wakati wa mkutano wa mwaka wa wana taaluma katika uwanja wa usimamizi wa miradi ulioandaliwa na Taasisi ya Usimamizi wa Miradi (PMI) uliofanyika katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro leo mchana uliokuwa na mada kuu uoanishaji wa Mipango mkakati katika utekelezaji wa miradi.
Mkurugenzi wa Ubunifu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Issack Peter akiwa na kundi la wazungumzaji waliochaguliwa kuwa wasemaji wakuu katika majadiliano ya uoanishwaji wa utekelezaji miradi na mipango mikakati wakati wa mkutano wa mwaka wa wana taaluma katika uwanja wa usimamizi wa miradi ulioandaliwa na Taasisi ya Usimamizi wa Miradi (PMI) uliofanyika katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro leo mchana.
Sehemu ya Wanataaluma wa Usimamizi Miradi wakifuatilia mijadala wakati wa mkutano wa mwaka wa wana taaluma katika uwanja wa usimamizi wa miradi ulioandaliwa na Taasisi ya Usimamizi wa Miradi (PMI) uliofanyika katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro leo mchana.Mkurugenzi wa Ubunifu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Issack Peter akijadili hoja akiwa na kundi la wazungumzaji waliochaguliwa kuwa wasemaji wakuu katika majadiliano ya uoanishwaji wa utekelezaji miradi na mipango mikakati wakati wa mkutano wa mwaka wa wana taaluma katika uwanja wa usimamizi wa miradi ulioandaliwa na Taasisi ya Usimamizi wa Miradi (PMI) uliofanyika katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro leo mchana.
Viongozi wa Taasisi ya Usimamizi wa Miradi (PMI) katika picha ya pamoja na Washiriki kutoka katika Shirika la Nyumba la Taifa wakati wa mkutano wa mwaka wa wana taaluma katika uwanja wa usimamizi wa miradi
No comments:
Post a Comment