Friday, November 03, 2017

MUONEKANO WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU INAYOENDELEA KUJENGWA MKOANI DODOMA

 Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akikagua  ujenzi wa Makao Makuu ya ofisi hiyo unaoendelea mkoani Dodoma. Ujenzi wa ofisi hiyo unatarajia kukamilika mwezi Februari, 2018.  
 Muonekano wa mbele wa jengo jipya la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) linaloendelea kujengwa mkoani Dodoma.
 Muonekano wa jengo jipya la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) linaloendelea kujengwa mkoani Dodoma.
Muonekano wa jengo jipya la Makao Makuu ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) linaloendelea kujengwa mkoani Dodoma. Picha na Veronica Kazimoto.

No comments:

SERIKALI YAPELEKA TABASAMU KWA WANANCHI KUPITIA MIRADI YA MAENDELEO

Na OWM – TAMISEMI, Arusha Wananchi katika maeneo mbalimbali nchini wanaendelea kunufaika moja kwa moja na utekelezaji wa miradi ya maendele...