Wednesday, November 29, 2017

SPIKA NDUGAI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA NHC

 Mkurugenzi wa Ubunifu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Issack Peter akimpokea Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Yustino Ndugai alipokuwa akiwasili jana kwenye makao makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa. Spika Ndugai alikuwa na mazungumzo na uongozi wa Shirika kuhusu masuala mbalimbali ya maendeleo.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Yustino Ndugai akiwasili jana kwenye makao makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa. Spika Ndugai alikuwa na mazungumzo na uongozi wa Shirika kuhusu masuala mbalimbali ya maendeleo

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Yustino Ndugai akisalimiana na Meneja wa ofisi ya Mkurugenzi Mkuu, Muungano Saguya.
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Yustino Ndugai akisalimiana na Meneja wa ofisi ya Mkurugenzi Mkuu, Arden Kitomari.
 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Yustino Ndugai akitia saini kitabu cha wageni.

 Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Yustino Ndugai akijadili jambo na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma na Huduma kwa Jamii, Susan Omari na Mkurugenzi wa Ubunifu Issack Peter.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Yustino Ndugai akijadili jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na Mkurugenzi wa Ubunifu wa NHC, Issack Peter.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Yustino Ndugai wakifurahia jambo na  Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...