Tuesday, April 19, 2016

WAMILIKI WA NYUMBA ZA ECO RESIDENCE WAKABIDHIWA NYUMBA ZAO NA NHC

 Meneja Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Tuntufye Mwambusi akiwa na viongozi wateule wa Umoja wa wenye nyumba wa Eco Residences muda mfupio baada ya kuchaguliwa kwao na akawatambulisha kwa wamiliki wa nyumba hizi (hawapo pichani) jengo hilo lililopo Hananasif, Kinondoni limekamilika likiwa na sehemu za makazi 118 na kukabidhiwa kwa wamiliki wake mwishoni mwa wiki. Mkutano wa Shirika la Nyumba la Taifa na Wamiliki wa Nyumba hizo ulifanyika kwenye aneo la Restaurant ya jengo hilo.
 Meneja wa Huduma za Sheria wa Shirika la Nyumba la Taifa anayeshughulikia mikataba, Sarah Massamu na Ofisa Huduma za Sheria Mwandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nancy Shuma wakitoa somo la sheria za hati pacha kwa wamiliki hao wa nyumba (hawapo pichani) kuhusiana na namna bora ya kuishi katika makazi hayo.
Bwawa la kuogelea la jengo hilo likiwa katika hatua za mwisho za ujenzi, bwawa hilo ni kwajili ya wenye nyumba.
 Eneo la chini ya jengo ambalo lina maegesho ya kutosha ya magari ya wamiliki wa nyumba bamoja na wageni wachache wanaofika kuwatembelea.
  Eneo la lango la kuingilia la jengo palipo na lango na kuingilia maegesho ya chini ambayo ni ya kutosha ya magari ya wamiliki wa nyumba bamoja na wageni wachache wanaofika kuwatembelea.
 Jengo la Eco Residences linavyoonekana kwa sasa mara baada ya kukamilika 

 Meneja wa Huduma za Sheria wa Shirika la Nyumba la Taifa anayeshughulikia mikataba, Sarah Massamu na Ofisa Huduma za Sheria Mwandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nancy Shuma wakitoa somo la sheria za hati pacha kwa wamiliki hao wa nyumba (hawapo pichani) kuhusiana na namna bora ya kuishi katika makazi hayo.
 Meneja wa Huduma za Sheria wa Shirika la Nyumba la Taifa anayeshughulikia mikataba, Sarah Massamu na Ofisa Huduma za Sheria Mwandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nancy Shuma wakitoa somo la sheria za hati pacha kwa wamiliki hao wa nyumba (hawapo pichani) kuhusiana na namna bora ya kuishi katika makazi hayo.
 Meneja wa Usimamizi Miliki, Greyson Godfrey akiwaelezea wenye nyumba hao masuala mbali mbali yanayohusu gharama, uendeshaji na namna njema ya kuishi katika nyumba zao wakiwa katika umoja wao.

 Safu ya uongozi wa wenye nyumba walionunua nyumba katika jengo hilo ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mheshimiwa Yahya Omari Massare ikijadiliana jambo muda mfupi baada ya kuchaguliwa.
 Baadhi ya wenye nyumba wakitembelea maeneo ya jengo lao ambapo hapo walikuwa katika eneo la bwawa la kuogelea lililopo ghorfa ya kwanza ya jengo.
 Mojawapo ya sebule ya nyumba hizo inavyoonekana 
Sehemu ya mojawapo ya chumba cha nyumba mojawapo kinavyoonekana kwa ssasa baada ya kukamilika.
Jiko la mojawapo kinavyoonekana kwa sasa baada ya kukamilika.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...