Thursday, April 07, 2016
ALIYEKUWA MBUNGE WA CHADEMA CHRISTINA LISSU AFARIKI DUNIA
Aliyekuwa Mbunge Viti Maalum (Chadema) Mh.Christina Mughwai Lissu amefariki dunia muda mfupi uliopita katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar. Marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa saratani tangu mwaka jana. Mungu ampumzishe kwa amani.!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment