Monday, April 04, 2016

RAIS DK. SHEIN AKUATANA NA BALOZI MASILINGI

S1Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Marekani Mhe,Wilson M.Masilingi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar asubuhi ya leo.
S2Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Nchini Marekani Mhe,Wilson M.Masilingi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar asubuhi ya leo,
[Picha na Ikulu.]

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...