
Mgombea wa urais wa Jamhuri wa Muungano kupitia Chama cha Deomkrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa, akiwahutubia maelefu ya wakazi wa mji wa Arusha, ambao walijitokeza kumdhani, katika Uwanja wa NMC leo. Picha na Joseph Senga.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Belarus, Mheshimiwa Maxim Ryzhenkov, amewasili nchini kwa ziara ya kikazi ya siku tatu kuanzia Aprili...
2 comments:
napenda website yako kwa sababu siyo kina michuzi na ndugu zake wanalipwa na uhuru/mzalendo lazima tuelewe kama alivyosema jamaa/bango siku ya wafanyakazi iringa miaka miwili iliyopita, "bila ufisadi maisha bora kwa wote yanawezekana" jk anataka watu bongo wote wahamie ughaibuni ili wakafungue matawi mapya ya ccm, sijui anataka wazungu wajiunge ufisadi wa ccm. twisted logic !!!!!
Well HANSEN is giving it all and that means RUSH is FUCKED.
Post a Comment