Wednesday, July 14, 2010
Breaking News Profesa Mwaikusa auawa na majambazi
Taarifa zilizotufikia muda mfupi uliopita zinaeleza kuwa yule nguli na mwanasheria ambaye pia ni Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu aliyetikisa katika kesi ya mgombea binafsi, Profesa Jwani Mwaikusa ameuawa kwa kupigwa risasi na majambazi waliovamia nyumbani kwake majira ya saa nne usiku.
Sambamba na mauaji ya Profesa huyo majambazi hayo pia yaliua mtoto aliyekuwamo ndani ya nyumba ya Profesa huyo na kisha kumuua jirani kwa kumpiga risasi, haijafahamika yamepora mali gani na nini lengolao hasa, mamlaka za serikali bado hazijathibitisha tukio hilli, taarifa hii imepatikana kutoka kwa ndugu wa karibu wa Profesa huyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
3 comments:
Mungu wangu, siamini ... sitaki kuamini ... Jwani jamani. Kwa nini? Kwa nini?
Jwani ameniuma sana kwa kifo chake, pia Gwamaka mpwa wake.. Mungu alipize kisasi na Haki itendeke.. Rest In Peace Jwani and Gwamaka na Jirani pia.
Ninachokiamini hao jamaa hawana muda mrefu watakamatwa tu, maana damu ya mwanadamu aliyeumbwaa na Mungu haimwagiki hivihivi tu, siku mija watajitaja tu,,hata miezi miwili haiishi..
Thomas Temi
Post a Comment