Sunday, April 20, 2008

Ditopile afariki dunia

Hii ya Braza Dito ilipigwa sioku nyingi zilizopita na Faza Kidevu.

Taarifa zilizotufikia hivi sasa zinasema kuwa Mwanasiasa machachari Ukiwaona Ramadhani Mwishehe Ditopile Mzuzuri amefariki dunia huko Morogoro akiwa anaangalia Televisheni katika hoteli akisumbuliwa na maradhi ya kisukari pichani mwili wa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa tabora,Ditopile Mzuzuri ukipakiwa katika gari tayari kupelekwa katika chumba cha kuifadhia maiti cha hospitali ya mkoa wa Morogoro. Picha na Juma Ahmedi, Morogoro) taarifa zaidi mtaendelea kuzipata kadri tunavyozipata.

1 comment:

Anonymous said...

kama kuna kosa kubwa serikali ilifanya ni kumuachia huyu mtu nje maana ilifikiri inamsaidia kumbe ndiyo ilikuwa inammaliza nasikitika sana kusikia msiba huu lakini kama atakuwa AME-COMMIT SUICIDE Govt is responsible 100% haikutakiwa kumuachia huyu mtu atembee mwenyewe popote anapotaka kwenda si kwa ajili ameuua NA ANATAKIWA KUWA CHINI YA MIKONO YA SHERIA tu bali hata kwa manufaa yake ona sasa serikali ndi inachunguza kifo chake inaonyesha huyu mtu alikuwa huru bila usimamizi wowote 100% sijui hizi nchi zetu zinafikiria nini wakati mwingine uwezo mdogo sana kwenye vitu visivyohitaji hata kufikiria (common sense) MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI AMEN

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...