Tuesday, January 02, 2007

Maalim Seif na Rais Karume


Ni urafiki tuu au kuna mashaka ndani yake hapa viongozi hawa walikutana siku ya Idd El Hajj.

4 comments:

mloyi said...

Vizuri kama wao wawili wanakaa pamoja na kufurahia. Sisi wafuasi inabidi kujifunza toka kwao.

Rashid Mkwinda said...

Hakuna lolote huu ni urafiki wa kinafiki, na tuone basi kama watatekeleza muafaka uliosaniwa Octoba 10 mwaka uleee.

Huku ni kuwadanganya WAPIKA KULA kwani vikisha iva wao ndio walao na kuwaacha wananchi wakimwaga damu pasipo na hatia, ingekuwa amri yangu haya mambo ya SIHASA ningeyapika vita kila mtu aishi awezavyo kwa nini kutokana na hali hii wananchi wanakuwa maadui eti kwa 7babu ya kung'ania madaraka kunani huko wanako ng'ang'ania?

Wasi2babaishe hawa ni wasanii tu wa mambo ya SIHASA ona hadi sasa kuna wa2 wanaishi kama wakimbizi kule Daadab kaskazini mwa Kenya kisa eti wanagombea IKULU

Jeff Msangi said...

Charahani,
Siasa ni mchezo fulani wa kuigiza ambao mwanzo wake wala mwisho wake haujulikani.Ni vigumu sana kuwaelewa wanasiasa.Ni vigumu pia kujua nia ya vitendo vyao.

Anonymous said...

Amiable post and this enter helped me alot in my college assignement. Gratefulness you on your information.