
Pichani dege la Quartar Airlines lenye uwezo wa kubeba watu 110 sasa linafanya safari za moja kwa moja toka Doha hadi Dar mara nne kwa wiki. Karibuni Bongo usafiri simple sasa. Picha ya Deus Mhagale.
Dar es Salaam, 18 Juni 2025 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa watafiti na wapangaji wa s...
2 comments:
Natamani siku Ndege zenye nembo Air Tanzania zitakapo kuwa za kawaida katika viwanja vingi nje ya Tanzania.
Roho inaniuma sana kuona uwanja wetu wa ndege unafunikwa na ndege kibao za Kenya Airways.Ni wakati sasa kwa serikali yetu kuifufua upya Tanzania Airways.
Post a Comment