Thursday, January 11, 2018

MAKAMU WA RAIS AZINDUA BARAZA LA VIJANA ZANZIBAR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye ukumbi wa zamani wa Baraza la Wawakilishi Kikwajuni tayari wa Uzinduzi wa Baraza la Vijana Zanzibar akiongozana na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Mhe. Maudline Cyrus Castico pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Zanzibar Ndugu Khamis Rashid Kheri. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Mhe.Maudline Cyrus Castico wakati wa hafla ya uzinduzi wa Baraza la Vijana Zanzibar.
 Sehemu ya waliohudhuria uzinduzi wa baraza la vijana Zanzibar.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihamasisha vijana wakati wa Uzinduzi wa Baraza la Vijana Zanzibar akiwa pamoja  na Waziri wa Kazi,Uwezeshaji, Wazee, Vijana, Wanawake na Watoto Mhe. Maudline Cyrus Castico na Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Zanzibar Ndugu Khamis Rashid Kheri.
 Sehemu ya wageni waalikwa mbalimbali
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa Uzinduzi wa Baraza la Vijana uliofanyika kwenye ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani, Kikwajuni. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...