Friday, January 12, 2018

SHEREHE YA MIAKA 54 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu, Mzee Ally Hassan Mwinyi. 


Makamu wa Rais, Bi Samia Suluhu Hassan (mwenye miwani), Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na viongozi wengine wakiwa kwenye hafla hiyo.


Rais Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais Bi. Samia.


Mgeni Rasmi, Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohammed Shein akiwasili Uwanja wa Amani kwa ajiri ya sherehe hiyo.


Dkt. Ali Mohammed Shein akikagua gwaride.


Moja ya majeshi yaliyokuwepo katika hafla hiyo.


Baadhi ya vijana waliofika uwanjani hapo wakipita na mabango mbele ya wageni.


Baadhi ya viongozi wa serikali waliohudhuria sherehe hiyo.


Dkt. Shein akiwslimia wananchi.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...