Tuesday, June 06, 2017

Benki ya NBC yala futari na wateja wake jijini Dar

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Theobald Sabi (kulia), akimkaribisha Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hassan Mwinyi, katika futari waliyowaandalia wateja wao jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Katikati ni Meneja Mahusiano wa benki hiyo, William Kallaghe.
 Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hasaan Mwinyi (wa pili kushoto), akizungumza katika hafla ya futari iliyoandaliwa na benki  ya NBC kwa wateja wake jijini Dar es Salaami. Kutoka kushoto ni  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Theobald Sabi, Mkurugenzi wa Wateja Binafsi, Filbert Mponzi na Waziri Mkuu wa zamani, Salim Ahmed Salim .  
 Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hasaan Mwinyi (katikati), akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Theobald Sabi (kushoto), katika hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja wake jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Wateja Binafsi, Filbert Mponzi.  
 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Theobald Sabi (kushoto), akimpa zawadi Waziri Mkuu wa zamani, Salim Ahmed Salim katika hafla ya futari iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja wake jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu, Alhaji Ali Hasaan Mwinyi (kushoto), akizungumza na Meneja wa Tawi la Corporate, Mariam Kombo (kulia), baada ya kuhudhuria hafla ya futari  iliyoandaliwa na NBC jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa NBC, Theobald Sabi na Meneja Mahusiano wa benki  hiyo, William Kallaghe.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...