Tuesday, January 17, 2017

Waziri Makamba atoa maelekezo katika kikao kazi


 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe  January Makamba akiwasili katika Chuo Kikuu cha Mzumbe kwa ajili ya Kikao kazi cha Menejimenti ya Ofisi yake.  Kushoto ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe  January Makamba (kushoto) akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Eng. Ngosi Mwihava mara baada ya kuwasili katika Chuo Kikuu cha Mzumbe kwa ajili ya Kikao kazi cha Menejimenti ya Ofisi yake.
 Sehemu ya Menejimenti timu wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe  January Makamba kabla ya kuanza kikao kazi katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu cha Mzumbe mjini Morogoro.
 Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora (kulia) na Eng. Bonaventure Baya Mkurugenzi Mkuu (NEMC) wakifuatilia hotuba ya ufunguzi katika kikao kazi kinachoendelea katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe.
Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Sera na Mipango Bw. Ntime Mwalyambi akiwasilisha mada katika kikao kazi kinachoendelea katika Ukumbi wa Mikutano wa Chuo Kikuu cha Mzumbe

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...