Saturday, January 14, 2017

BENKI KUU YA TANZANIA (BOT) YAWAJENGEA UWEZO WAJUMBE WA KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI (PAC)

KUU1
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Prof. Benno Ndulu (katikati) akifafanua jambo kwa Wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) (hawapo pichani) kuhusu majukumu mbalimbali ya Benki hiyo wakati wa Kikao cha siku mbili cha  Kuwajengea Uwezo Wajumbe wa Kamati hiyo kuhusu majukumu ya benki hiyo kilichofanyika jijini Dar es Salaam 13-14  Januari, 2017.
KUU2
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Prof. Benno Ndulu (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Livingstone Kaboyoka (Mb) wakiteta jambo wakati wa Kikao cha siku mbili cha  Kuwajengea Uwezo Wajumbe wa Kamati hiyo kuhusu majukumu ya benki hiyo kilichofanyika jijini Dar es Salaam 13-14  Januari, 2017.
KUU3
Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Livingstone Kaboyoka (Mb) (wa pili kulia) akiwaeleza jambo  Wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) pamoja Watendaji wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) wakati wa Kikao cha siku mbili cha  Kuwajengea Uwezo Wajumbe wa Kamati hiyo kuhusu majukumu ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kilichofanyika jijini Dar es Salaam 13-14  Januari, 2017.
KUU4
KUU5
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Prof. Benno Ndulu (wa pili kushoto), Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Livingstone Kaboyoka (Mb) (wa pili kulia) pamoja na Viongozi mbalimbali wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) wakifurahia jambo wakati wa Kikao cha siku mbili cha Kuwajengea Uwezo Wajumbe wa Kamati hiyo kuhusu majukumu ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kilichofanyika jijini Dar es Salaam 13-14  Januari, 2017.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA BUNGE-DAR ES SALAAM)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...