PICHANI NI MATUKIO MBALIMBALI YA RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOKUTANA NA MMOJA WA WALIMU WALIOMFUNDISHA UDSM MIAKA YA 1970, PROF. ABDUL AZIZ JALLOH. WAWILI HAO WALIKUTANA BAADA YA MIAKA MINGI WAKATI RAIS AKIZINDUA ZOEZI LA TATHMINI YA UTAWALA BORA CHINI YA MPANGO WA AFRIKA KUJIPIMA KIUTAWALA BORA (APRM) MACHI, 2012 IKULU DAR ES SALAAM. PROF. JALLOH ALIKUWA NCHINI AKIWA MMOJA WA WATAALAMU BINGWA WALIOKUJA KUHAKIKI HALI YA UTAWALA BORA NCHINI. MWENYE 'FRENCH TIE' NI WAKILI (BARRISTER) AKERE MUNA ALIYEKUWA KIONGOZI WA JOPO LA WAHAKIKI HAO.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
TUTABORESHA BAJETI YA ELIMU – WAZIRI MKUU
▪️Asema Serikali itaimarisha vitengo vya tathmini na ufuatiliaji kila wizara Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea ku...
-
Hapa mmoja wa watoto hao akiwa na kijana mwenzake mwenye miaka 18, wote wako sawa lakini yeye hawezi kuzungumza kama watu wa kawaida. Mama S...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
Pascal Mayalla akiwa katika chumba cha wagonjwa Daraja la kwanza katika hospitali ya mkoa wa Dodoma ambako amelazwa kwa matibabu baada ya ku...
No comments:
Post a Comment