Sunday, October 07, 2012

Aggrey Marealle achanguliwa Mjumbe wa NEC Moshi Mjini


Kada wa Chama cha Mapinduzi mkoani Kilimanjaro, Agrey Mareale jana amechaguliwa kuwa Mjkumbe wa NEC kutoka Wilaya ya Moshi mjini Mkoani Kilimajaro.Mareale amemwangusha mpinzani wake katika nafasi hiyo Buni Ramole. Aidha katika uchaguzi huo pia ulimchagua Bi. Elizabeth Minde kuwa Mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya Moshi Mjini.

No comments:

TANZANIA NA SWEDEN ZAIMARISHA USHIRIKIANO KATIKA BIASHARA, NISHATI NA MAENDELEO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uf...