Friday, October 12, 2012

BREAKING NEWS: VURUGU ZATOKEA MBAGALA KIZUIANI BAADA YA KIJANA KUDAIWA KUKOJOLEA QURAN

Taarifa zilizotufikia hivi punde kutoka RADIO ONE ni kwamba kuna vurugu zinaendelea eneo la Mbagala Kizuiani ambapo baadhi ya Waislamu wameandamana kupinga kitendo cha kijana mmoja kukojolea Quran.
Kwa sasa mabomu ya machozi yanapigwa ili kuwatawanya waandamanaji hao ambao wamezingira kituo cha Polisi wakitaka kijana huyo atolewa la sivyo watakichoma moto kituo hicho.

No comments:

TAWIRI YASHIRIKI MKUTANO WA KIMKAKATI WA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

Mkurugenzi Mkuu TAWIRI Dkt. Eblate Mjingo ni miongoni mwa Wakuu wa taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii wanaoshiriki  mkuta...