
Kibao kinaochoonyesha kuwa ni marufuku kuingia katika hifadhi iliyopo katika kisiwa cha Kome eneo la MChagani , lakini mbele yake kuna nyumba zinazotumiwa na wavuvi katika eneo hilo, kama kilivyonaswa na mdau Julius.
Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) na Chemba ya Biashara ya Taifa la Zimbabwe (ZNCC) wamesaini hati ya makubaliano (MoU...
No comments:
Post a Comment