Tuesday, July 17, 2007

Waziri Meghji, hebu tukuulize swali

NIMEPITIA magazeti ya wiki hii nikakuta habari zinazoonekana kama nzito hivi, zinanivutia kichwa chake cha habari, najaribu kuzisoma kwa undani na hata umakini kutokana na kunigusa kwa kiasi kikubwa.

Habari hizo zinazungumzia hatua inazozichukua serikali kunusuru hali mbaya inayoelezwa kusababishwa na wauzaji mafuta.

Nikadhani ni habari moto na nzito hasa. Namaliza kuzisoma naishia kutikisa kichwa. Nasikitika hasa mimi mvuja jasho , nasikitikia wavuja jasho wenzangu wengi tu waliotapakaa hapa nchini wanaoishi kwa taabu na uchungu wakitamani kupotea katika uso wa dunia.

No comments:

TANZANIA NA ZIMBABWE ZASAINI MAKUBALIANO KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIBIASHARA

Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) na Chemba ya  Biashara ya Taifa la Zimbabwe (ZNCC) wamesaini hati ya makubaliano (MoU...