Monday, July 09, 2007

I wapi ndege yenu ya uchumi inayopaa ?



TUNAJUA hata iweje, bajeti itakuja na itaondoka na sisi tutaendelea kuishi hata kama maisha yetu ni ya kubahatisha kwa kula mlo mmoja na maji na siku kuisha, haya yote ni maisha.

Tumewasikia waheshimiwa wetu walioko 'peponi' Dodoma wakiijadili bajeti ambayo kwetu sisi kadri tunavyoendelea kuufuatilia mjadala huo, unaendelea kutujaza hasira na kutuondolea matumaini ya kuondokana na machungu tuliyo nayo.

Wamekaa wakubwa na wawakilishi wetu wakaongeza ushuru katika mafuta, wakautetea uamuzi huo kwa nguvu zao zote. Wale wenzao, yaani wa upinzani waliukataa. Bonyeza hapa

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...