Thursday, March 29, 2007

Katikati ya jiji la Dar es Salaam


Mtaa wa Samora karibu kabisa na mnara wa saa.

3 comments:

MICHUZI BLOG said...

nasikia majengo dizaini hii yote yanapigwa chini na kujengwa mapya. ila sijasikia kama parking na drainage system itakuwa mpya...

Anonymous said...

yeahhh hilo nimelisikia mzee lakini si Manji pale alitaka kubomoa ile Salamander wakamkatalia wakamweleza kuwa ni eneo la hifadhi ya makumbusho ya kale, kama sikosei na wewe mzee ni member wa hii kamati ya makumbusho au upo nyingine.

MTANZANIA. said...

Planning ni tatizo kubwa katika nchi yetu. Mm naona mamlaka husika huwa zinarusu ujenzi kwanza na baadaye zinafanya planning. Hii ni hatari kwani planning ndio kitu cha msingi. Vinginevyo matatizo ya ubomoaji, uchafu n.k hayataisha.

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...