Friday, April 06, 2007

Mbadala wa RVF



Kutokana na ongezeko la ugongwa wa homa ya bonde la ufa hivi sasa kuku ay vyuku vinalika ile mbaya, hapa lori lililojaa vyuku likiingia mjini. Picha ya Fredrick Felix.

1 comment:

Anonymous said...

Kuku sasa hivi ni bei mbaya sana nasikia maana kkuna ndugu yangu yuko hapo Dar ananiambia kwamba kuku wamenunua kwa sh. 15, 000 kwa mmoja.

Mwili wa Hayati Askofu Mkuu Rugambwa wapokelewa Bukoba

Mwili wa Hayati Askofu Mkuu Novatus Rugambwa, aliyefariki hivi karibuni, uliwasili leo katika Kanisa Kuu la Bikira Maria wa Huruma, Jimbo Ka...