UNAWEZA kutuita jina lolote unalotaka, na kisha ukatudharau na kutupachika kila unaloona linafaa. Mara sisi ni wavivu wa kufikiri, mara eti mikopo ipo ila tumelala hatuichukui. Ebo tutaichukuaje wakati hali yenyewe ndiyo hii. Nasikitika nazungumzia sisi masikini.
Masikini katika ardhi yetu hii ya mama yetu Tanzania, tutaendelea kuwa masikini hata iweje na mipango yote inayoanzishwa wala haiwezi kutulenga kamwe, bali itakuwa inawalengeni ninyi wenye unafuu wa maisha.
Na itawafanya muwe matajiri wa kufuru kwa mgongo wetu, na siyo mgongo wetu tu, bali hata jasho letu la damu na machozi yetu, na hamtakaa mkajua tunateseka vipi hadi na nyinyi muwe kama sisi jambo ambalo haliwezekani. Soma zaidi kwa kubonya hapa:
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WAZIRI RIDHIWANI KIKWETE AFUNGUA MKUTANO MKUU WA MWAKA WA CHAMA CHA WAAJIRI (ATE)
Dar es Salaam, 18 Juni 2025 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mheshimiwa Ridhiwani J. Kikwete,...

-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
(Picha na Yahya Charahani) Katika kijiji cha Mwanjoro, wilayani Meatu – Shinyanga, maisha bado yanapumulia kwenye nyumba za udongo na mapaa...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
1 comment:
Inasikitisha kuona pengo kati ya matajiri na mafukuru linakuwa kama tofauti kati ya usiku na mchana.Bado kazi ni ngumu.
Post a Comment