Wednesday, April 15, 2026

RAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS WA KAMPUNI YA GRUPA ZENITH YA POLAND








Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Kampuni ya Grupa Zenith kutoka nchini Poland, Dkt. Aleksander Joseph Widuchi, tarehe 14 Aprili, 2026 Ikulu Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Kampuni ya Grupa Zenith kutoka nchini Poland, Dkt. Aleksander Joseph Widuchi, tarehe 14 Aprili, 2026 Ikulu Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia kitabu kinachoelezea masuala ya Mazingira, Nishati na masuala mbalimbali ya Poland wengine pichani ni Rais wa Kampuni ya Grupa Zenith kutoka nchini Poland, Dkt. Aleksander Joseph Widuchi pamoja na Mkurugenzi Mtendaji Bi. Aleksandra Stephania Widuchi, tarehe 14 Aprili, 2026 Ikulu Dar es laam.


No comments:

RC CHALAMILA ATOA SIKU SABA KWA MUAFAKA WA MGOGORO WA ARDHI TOANGOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ametoa muda wa siku saba kwa wadau wanaohusika na mgogoro wa muda mrefu wa ardhi katik...