Thursday, July 06, 2017

MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA DAR ISAYA MWITA NA MEYA WA KINONDONI BENJAMIN SITTA WATEMBELEA BANDA LA NHC

 Meya wa Jiji la Dares Salaam, Isaya Mwita akiwasili katika banda la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Katika maonyesho ya 41 ya Sabasaba na kulakiwa na Bw. Joseph Haule huku Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamini Sitta akishuhudia.
 Viwanja vya Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa vinavyoonekana kwa juu eneo lote la ndani.
 Banda la Maonyesho la Shirika la Nyumba la Taifa linavyoonekana kwa picha ya juu.

Meya wa Jiji la Dares Salaam, Isaya Mwita akisaini kitabu cha Wageni kwenye banda la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).
Meya wa Jiji la Dares Salaam, Isaya Mwita akisikiliza maelezo kutoka kwa Afisa Mauzo Mwandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Joseph Haule katika maonyesho ya 41 ya Sabasaba Meneja Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)  huku Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamini Sitta akishuhudia.
 Meya wa Jiji la Dares Salaam, Isaya Mwita akiwasili katika banda la Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Katika maonyesho ya 41 ya Sabasaba na kulakiwa na Bw. Joseph Haule huku Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamini Sitta akishuhudia.
Afisa Mauzo wa Shirika la Nyumba la Taifa, Stephen Mrema akitoa maelezo kwa wateja katika maonyesho ya 41 ya Sabasaba yanayoendelea.
Meya wa Jiji la Dares Salaam, Isaya Mwita akijadiliana jambo na Afisa Mauzo Mwandamizi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Bw. Joseph Haule katika maonyesho ya 41 ya Sabasaba Meneja Masoko wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)  huku Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Benjamini Sitta akishuhudia.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...