Saturday, July 15, 2017

IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI KENYA


 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akiwasili uwanja wa ndege kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, akitokea Nairobi nchini Kenya kuhudhuria hafla ya ufungaji wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kukabiliana na matishio ya kigaidi na uhalifu mwingine unaovuka mipaka Majeshi ya Polisi ambao ni wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO), kushoto ni kamishna wa Polisi Jamii nchini (CP) Mussa Ali Mussa. Picha na Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi
 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro,  akizungumza na Kaimu kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam, Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Lucas Mkondya (wa kwanza kushoto), muda mfupi alipowasili nchini akitokea Nairobi nchini Kenya kuhudhuria hafla ya ufungaji wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kukabiliana na matishio ya kigaidi na uhalifu mwingine unaovuka mipaka Majeshi ya Polisi ambao ni wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO), kulia ni Kamishna wa Polisi Jamii nchini (CP) Mussa Ali Mussa. Picha na Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi
 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro (wa kwanza kulia), akifurahia jambo baada ya kuwasili nchini akitokea Nairobi nchini Kenya kuhudhuria hafla ya ufungaji wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kukabiliana na matishio ya kigaidi na uhalifu mwingine unaovuka mipaka Majeshi ya Polisi ambao ni wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO), anayefuata ni Kamishna wa Polisi Jamii nchini (CP) Mussa Ali Mussa na Kaimu kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam (DCP) Lucas Mkondya.

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro(wa kwanza kulia),akitafakari jambo baada ya kuwasili nchini akitokea Nairobi nchini Kenya kuhudhuria hafla ya ufungaji wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wa kukabiliana na matishio ya kigaidi na uhalifu mwingine unaovuka mipaka Majeshi ya Polisi ambao ni wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO), anayefuata ni Kamishna wa Polisi Jamii nchini (CP) Mussa Ali Mussa na Kaimu kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es salaam (DCP) Lucas Mkondya
 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Simon Sirro, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya makamanda na washiriki kutoka Majeshi ya Polisi ambao ni wanachama wa Shirikisho la Wakuu wa Polisi kwa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO), waliohudhuria mafunzo ya kukabiliana na matishio ya kigaidi na uhalifu mwingine unaovuka mipaka, mafunzo yaliyofanyika katika chuo cha Jeshi la Ulinzi la Kenya kilichopo katika eneo la Embakasi, jijini Nairobi
Baaadhi ya vikosi vya Jeshi la Polisi kutoka nchi wanachama wa Shirikisho la Wakuu kwa Polisi wa nchi za Afrika Mashariki (EAPCCO), walioshiriki katika mafunzo ya kujengewa uwezo wa kukabiliana na matishio ya kigaidi na uhalifu mwingine unaovuka mipaka, mafunzo yaliyofanyika katika chuo cha Jeshi la Ulinzi la Kenya kilichopo katika eneo la Embakasi, jijini Nairobi.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...