Monday, February 07, 2011

Usafiri wa mitaa ya Mbambabay

Hii ni sehemu ya barabara ya Mbinga - Mbambabay kama ilivyoshuhudiwa na mdau wetu aliyepita maeneo hayo juzi.

4 comments:

Anonymous said...

Maisha bora kwa kila mtanzania.

emu-three said...

Raha kweli kweli...na kweli maisha bora kwa kila mtanzania, hii ni miaka ya mtu ya uhuru...we're still in that way!
Najiuliza hivi hizo miundombinu za mkoloni zikiisha kabisa tutakuwaje...hebu angalia TAZARA walivyochonga, hivi sisi tumewahi kuchonga kama hivyo...sie kucopy and paste

Msijali, miaka thelathini na zaidi ya uhuru si kitu, lami itamwagwa ndani ya miaka miwili tu,ndani ya Mh. askari kasimama mlangoni.

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...