Friday, October 15, 2010

JK ahitimisha kilele mbio za mwenge


kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa mwaka huu 2010 Dr.Nassoro Ally Matuzya akimkabidhi mwenge wa Uhuru Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa sherehe za kilele cha mbio hizo kilichofanyika katika uwanja wa michezo wa Lake Tanganyika mjini Kigoma leo mchana.

1 comment:

emu-three said...

Oh, mwenge ni moja ya kumbukumbu za kumuenzi baba wa taifa, ni ishara fulani ya `ushindi' na `umoja', je historia ya mwenge inaanzia wapi, na kwanini ikawa mwenge?

KIPANGULA: WAHITIMU WA HABARI WATAFAIDIKA NA MABORESHO YA KANUNI

  Na Mwandishi Wetu Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amewashauri Waandishi ...