Saturday, April 07, 2007

Mnazi mmoja uko wapi vile

Mnazi Mmoja

2 comments:

Evarist Chahali said...

Mzee nimepita hapa nyumbani kwako.Nimepapenda sana.
Bonge

ARAWAY Media Tanzania said...

Ahsante sana mzee unajua ndo najitahidi kuezeka makuti mvua bado inanivujia hata hivyo karibu sana kaka, huwa napita kwako pia.
Habari ya miaka mingi tangu tumalize chuo miaka ileee.

Mwili wa Hayati Askofu Mkuu Rugambwa wapokelewa Bukoba

Mwili wa Hayati Askofu Mkuu Novatus Rugambwa, aliyefariki hivi karibuni, uliwasili leo katika Kanisa Kuu la Bikira Maria wa Huruma, Jimbo Ka...