Monday, March 19, 2007

Watoto wa bongo

Watoto halisi wa bongo hawa wakiwa kwao.

2 comments:

mloyi said...

Watoto wa Tanzania wakiwa kwao, wanakubalika kwao? je tunawaendeleza kama wako kwao? tunawapa nafasi ya juu kwenye maisha yao?

Simon Kitururu said...

Kusema kweli wako kwao . lakini ingependeza kama wangejulishwa haki zao

TRENI YA MWENDOKASI KUFIKA MWANZA 2028

  Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa (wa pili kutoka kulia),akizungumza baada ya kukagua daraja la kupitisha magari chn ya reli, l...