Saturday, May 27, 2006

Huyu naye vipi kaingia kijijini hivi hivi tu

Kumekucha tena wanakijiji wenzangu sasa kuna kitu kipya chenye mambo kibao, ambayo bila shaka yana faida kuwa kwetu sote, blogu hii imeingia kistaili yake na bila shaka mtakubaliana nami kwamba sasa tunasonga mbele katika haya masuala ya teknolojia. Ukitaka mambo mapya hebu bonya hapa . Kwa huyu kwa taratibu zetu za hapa kijijini unaweza kugonga kuomba chumvi, kibiriti na hata mshumaa kama umechacha.

1 comment:

boniphace said...

kaka huyu mchizi umem,fuma kweli kweli mwambie avalie njuga uwanja wa picha ili tuwe na wakina Michuzi wengi pia nimetazama picha zake safi saa pia anastahili heko. Nitampitia baadaye kumsalimu na ikibidi nami kumrusha na kutanga za magazeti tandokibao ambayo yamefika kwangu na sijapata muda wa kuyaweka hewani.

TANZANIA NA ZIMBABWE ZASAINI MAKUBALIANO KUIMARISHA USHIRIKIANO WA KIBIASHARA

Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) na Chemba ya  Biashara ya Taifa la Zimbabwe (ZNCC) wamesaini hati ya makubaliano (MoU...