Monday, May 26, 2014

Rais Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete Waudhuria Sherehe za Kula Kiapo Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Nelson Mandela Amphitheater katika jengo la Union Buildings mjini Pretoria kuhudhuria sherehe za kuapishwa Rais Jacob Zuma wa Afrika ya Kusini Mei 24, 2014
Rais Jacob Zuma akila kiapo katika Nelson Mandela Amphitheater katika jengo la Union Buildings mjini Pretoria wakati wa sherehe za kuapishwa kwake  Mei 24, 2014.Picha na IKULU

CCM WAFANYA MKUTANO MKUBWA SINGIDA, WAELEZEA MIPANGO YAKE YA MAENDELEO KWA WANANCHI

Mawaziri waliohudhuria katika mkutano huo mkubwa ambao umerushwa moja kwa moja na kituo cha televisheni cha Star Tv ni Dr. Charles Tizeba naibu waziri wa uchukuzi, Amos makala Naibu Waziri wa Maji, Mwigulu Nchemba naibu waziri wa Fedha na Uchumi na, Mbunge wa jimbo la Iramba Mashariki na Naibu Katibu Mkuu wa CCM,Stephen Wasira Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) na Adam Malima Naibu waziri wa Fedha na Uchumi  na viongozi mbalimbali wa kitaifa na mkoa wa Singida.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-SINGIDA)3029Mwigulu Nchemba naibu waziri wa Fedha na Uchumi na, Mbunge wa jimbo la Iramba Mashariki na Naibu Katibu Mkuu wa CCM akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Peoples mjini Singida leo.28Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara mjini Singida27Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Singida Mashariki Bw. Andrew Andalu akipongezwa na Mh. Stephen Wasira  mara baada ya  alipotangaza kukihama chama cha CHADEMA na kujiunga na CCM katika mkutano wa hadhara mjini Singida, kutoka kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Mgana Msindai, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana, Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Singida mjini Khamis Nguli na Mwigulu Nchemba Naibu Katibu Mkuu wa CCM.26Aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la Singida Mashariki Bw. Andrew Andalu akitoa ushuhuda uliomfanya aachane na CHADEMA na kujiunga na CCM.25Naibu Waziri wa Maji Mh. Amos Makala akiwahutubia wananchi wakati akiwaelezea kuhusu mipango ya serikali kuhusu maji katika mkutano wa hadhara mjini Singida.24Naibu Waziri wa Uchukuizi Mh. Charles Tizeba akiwaelezea wananchi mipango ya serikali katika suala la ukarabati wa reli ya kati.23Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa amekaa meza kuu na viongozi mbalimbali katika mkiutano huo.22Umati wa wananchi waliohudhuria katika mkutano huo.21Baadhi ya wanachama wa CCM kutoka Isuna.20Mkuu wa mkoa wa Singida Ndugu Parseko Kone akiwaelezea wananchi mafanikio yaliyopatikana katika mkoa huo chini ya ilani ya uchaguzi ya CCM. 17Nyooomi33Baadhi ya wananchi wakifuatilia matukio katika mkutano huo.32Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kulia, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Mgana Msindai katikati na Nape Nnauye wakifurahia jambo katika mkutano huo.31Mbunge wa jimbo la Singida mjini Mh. Mohamed Dewji akizungumza na wananchi wa jimbo lake f15Mwigulu Nchemba Naibu Katibu Mkuu wa CCM na Mbunge wa jimbo la Singida mjini Mh. Mohamed Dewji wakiwa wamepanda bodaboda wakielekea kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Peoples mjini Singida.16Msafara wa pikipiki ukielekea kwenye mkutano huo.13Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulhman Kinana akishiriki kazi ya useremala wakati alipotembelea mradi wa kikundi cha vijana seremala kinachoitwa Aikande Workshop mjini Singida.10Mitambo mipya ya maji katika mradi wa maji iliyofungwa katika kiiji cha Ng’aida manispaa ya Singida katika kupunguza tatizo la maji kwenye manispaa hiyo.9Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulhman Kinana akimsikiliza mhandisi wa maji wa SUWASA Mhandisi Isaack Nyakonji wakati alipotembelea na kukagua mradi huo.8Mradi wenyewe12Mh. Mohammed Dewaji akishiriki katika kupiga ripu kwenye shule ya sekondari ya Mughanga  mjini Singida7Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulhman Kinana akiondoka mara baada ya kukagua hospitali ya rufaa ya mkoa wa Singida, kulia ni Mbunge wa jimbo la Iramba Mashariki Mh. Mwigulu Nchemba na kutoka kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa wa Singida Bw. Liana Hassan na anayefuata ni mbunge wa jimbo la Singida mjini Mh. Mohammed Dewji.6Pendael Masai Afisa Muuguzi wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Singida  akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati alipotembelea hospitali hiyo kulia ni Mwigulu Nchemba Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi.5Baadhi ya majengo ya hospitali hiyo.1aKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua  hospitali hiyo kutoka kulia ni Pendaeli Masai Afisa Mhuuguzi wa hospitali hiyo,  Mwigulu Nchemba Mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi na kutoka kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa wa Singida Bw. Liana Hassan  na mkuuu wa mkoa wa Singida Ndugu Parseko Kone.3Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wauguzi mbalimbali wa hospitali hiyo2aKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozwa na Pendaeli Masai Afisa Mhuuguzi wa hospitali hiyo kulia nia Daktari Bingwa wa Afya ya Mama na mtoto katika hospitali hiyo Dr. Suleiman Mutani kushoto.1Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Dr. Doroth Gwajima mganga mkuu wa mkoa wakati alipowasili katika hospitali hiyo.

RAIS KIKWETE AMJULIA HALI MAMA MZAZI WA ZITTO KABWE

D92A5200D92A5199
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mama Mzazi wa Mbunge  wa Kigoma Kaskazini  kwa tiketi ya CHADEMA Zitto Zuberi Kabwe aliyelazwa katika wodi ya wagonjwa wenye kuhitaji uangalizi maalumu (ICU) hospitali ya AMI jijini Dar es Salaam (picha na Freddy Maro)

CHADEMA IRINGA MJINI WATIMULIWA KATIKA MAZISHI YA DEREVA BODA BODA , WASEMA WAO SI CHAMA CHA SIASA

MWENGE WA UHURU 2014 WAMALIZA MBIO ZAKE MKOANI RUKWA, WAMMULIKA MLEMAVU WA NGOZI (ALBINO) ALIYEKATWA MKONO MWAKA JANA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya (katikati) akishiriki mbio za Mwenge wa
Uhuru (2014) na viongozi wa mbio hizo kitaifa, viongozi na wafanyakazi wa
Serikali, vyama vya siasa Mkoani Rukwa na wananchi muda mfupi kabla ya
kukabidhi Mwenge huo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Abass Kandoro baada ya
Mwenge huo kukamilisha mbio zake Mkoani Rukwa jana tarehe
25-05-2014. Mwenge huo wa Uhuru mkoani Rukwa ulitembelea miradi ya
maendeleo 28 na vikundi 27 vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya Tsh. bilioni nne
(4). 
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya (kulia) akimkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe.
Abass Kandoro Mwenge wa Uhuru baada ya kumaliza mbio zake Mkoani Rukwa jana
tarehe 25-05-2014. Mwenge huo wa Uhuru mkoani Rukwa ulitembelea miradi ya
maendeleo 28 na vikundi 27 vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya Tsh. bilioni nne
(4). 
Mkimbiza Mwenge waUhuru (2014) kitaifa Ndugu Wito Mlemelwa (katikati) kwa niaba ya Kiongozi wa
wakimbiza Mwenge kitaifa (2014) Ndugu Rachel Kassanda akimkabidhi mlemavu wa
ngozi Bi. Maria Chambanenge mkazi wa Sumbawanga msaada wa ng’ombe wawili wa
kulimia aina ya Maksai (hawapo pichani) na jembe la kulimia wanyama (Plau) juzi
tarehe 24-05-2014 vikiwa na thamani ya Tsh. Milioni 2.3 kama msaada wa kujikimu
kutoka kwa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kutokana na mama huyo kukatwa
mkono wake wa kushoto kwa imani za kishirikina mwishoni mwa mwaka jana. Kushoto
anayeshuhudia ni Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Mhe. Methew Sedoyyeka.
Ng’ombe wawili wa kulimia aina ya Maksai waliotolewa msaada kwa Mama Maria Chambanenge.
Mkimbiza Mwenge wa Uhuru (2014) kitaifa Ndugu Wito Mlemelwa (katikati) kwa niaba ya Kiongozi wa
wakimbiza Mwenge kitaifa (2014) Ndugu Rachel Kassanda akimkabidhi mlemavu wa
ngozi Bi. Maria Chambanenge mkazi wa Sumbawanga msaada wa jembe la kulimia
wanyama (Plau) na ng’ombe wawili wa kulimia aina ya Maksai (hawapo pichani) juzi
tarehe 24-05-2014 vikiwa na thamani ya Tsh. Milioni 2.3 kama msaada wa kujikimu
kutoka kwa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kutokana na mama huyo kukatwa
mkono wake wa kushoto kwa imani za kishirikina mwishoni mwa mwaka jana. 
Mlemavu wa ngozi Bi. Maria Chambanenge mkazi wa Sumbawanga ambaye alisababishiwa ulemavu
mwingine wa viungo mwaka jana 2013 na watu wasiojulikana baada ya kukatwa mkono
wake wa kushoto kwa imani za kishirikina akishika Mwenge wa Uhuru juzi tarehe
24-05-2014 ulipotembelea kijijini kwao kuzindua mradi wa maji na kumkabidhi
msaada wa ng’ombe wawili wa kulimia aina ya Maksai (hawapo pichani) na jembe la
kulimia wanyama (Plau) vikiwa na thamani ya Tsh. Milioni 2.3 kama msaada wa
kujikimu kutoka kwa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kwa mama huyo. 
(Na Hamza Temba – Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa @rukwareview.blogspot.com)

Friday, May 23, 2014

HAFLA YA UZINDUZI WA BODI YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka akizungumza na watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) (hawapo pichani) kwenye uzinduzi rasmi wa Bodi  mpya ya Shirika hilo uliofanyika kwenye Makao Makuu ya Shirika hilo jijini Dar es Salaam jana. (Picha zote kwa hisani ya kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii cha NHC)
 Wajumbe wapya wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Anna Kajumulo Tibaijuka kwenye uzinduzi rasmi wa Bodi ya Shirika hilo uliofanyika kwenye Makao Makuu ya Shirika hilo jijini Dar es Salaam jana.
 Wajumbe wapya wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Anna Kajumulo Tibaijuka na Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Kyando Mchechu kwenye uzinduzi rasmi wa Bodi ya Shirika hilo uliofanyika kwenye Makao Makuu ya Shirika jijini Dar es Salaam jana.

 Wajumbe wapya wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Anna Kajumulo Tibaijuka na Wakurugenzi wa NHC kwenye uzinduzi rasmi wa Bodi ya Shirika uliofanyika kwenye Makao Makuu ya Shirika hilo jijini Dar es Salaam jana.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Anna Kajumulo Tibaijuka akimkabidhi mikoba Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) , Mama Zakhia Hamdani Meghji.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Anna Kajumulo Tibaijuka akimkabidhi mikoba Mwenyekiti mpya wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) , Mama Zakhia Hamdani Meghji.

 Baadhi ya Wakurugenzi wa NHC waliokuwapo katika hafla hiyo fupi
 Baadhi ya mameneja wa NHC waliokuwapo kwenye hafla hiyo fupi jana mchana.
 Baadhi ya mameneja wa NHC waliokuwapo kwenye hafla hiyo fupi jana mchana.

 Wajumbe wapya wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa wakitafakari mambo.
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Anna Kajumulo Tibaijuka akimkabidhi mkoba Mjumbe mpya wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) , Diotrepes Mmari.

  Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Anna Kajumulo Tibaijuka katika picha ya pamoja na Mjumbe wa Bodi ya NHC, Irene Isaka.
 Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Nehemia Kyando Mchechu  akimsikiliza Mjumbe mpya wa Bodi ya NHC, Charles Mafuru, ambaye pia ni Naibu Mkurugenzi wa Nyumba wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Mjumbe mpya wa Bodi ya NHC, Charles Mafuru, ambaye pia ni Naibu Mkurugenzi wa Nyumba wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi akiwaelekeza jambo watendaji wakuu wa Shirika la Nyumba (NHC) (hawapo pichani) jana katika uzinduzi wa bodi mpya ya wakurugenzi wa NHC.
Wajumbe wa Bodi hiyo mpya ni 
1. ZAKHIA MEGHJI -MWENYEKITI
1. CHARLES MAFURU
2. BEDASON SHALLANDA
3. IRENE ISAKA
4. SUBIRA MCHUMO
5. PATRICK RUTABANZIBWA
6. DIOTREPHES MMARI
7. SAMSONI KASSALA
Mwenyekiti Mama Zakhia Meghji aliteuliwa rasmi na Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Wajumbe kuteuliwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Anna Kajumulo Tibaijuka na uteuzi wao kuanza mara moja Aprili Mosi.


MTUHUMIWA WA “KUFUTA MADENI” YA MIKOPO AKIRI KOSA, AHUKUMIWA KIGOMA

KIGOMA, Septemba 4, 2026 — Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma imemhukumu Nicholaus Komba Mahitana maarufu kama Abdallah Mahimbo baad...