Thursday, September 27, 2018

WAZIRI MKUU MAJALIWA ASEMA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LINAFANYA KAZI NZURI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa akizungumza na Meneja wa Mauzo (Affordable Housing) wa Shirika la Nyumba la Taifa, Tuntufye Mwambusi  wakati akipita kwenye mabanda ya maonyesho kabla ya kuanza kwa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 34 wa Jumuiya hiyo unaoendelea mkoani Dodoma na kuwakutanisha wajumbe kutoka Halmashauri 185 za Tanzania Bara. Mkutano huo umefanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma. 
Waziri Mkuu aliwaeleza watendaji wa Shirika la Nyumba kuwa NHC inafanya kazi nzuri na kama Serikali haina wasiwasi na Shirika hilo, pia ameugusia mradi wa Iyumbu na kusema unafanya vizuri.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) Bw. Gulma Hafeez Muccadam wakati akiingia kwenye hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 34 wa Jumuiya hiyo unaoendelea mkoani Dodoma na kuwakutanisha wajumbe kutoka Halmashauri 185 za Tanzania Bara. Mkutano huo umefanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi wakati akiingia kwenye hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 34 wa Jumuiya hiyo unaoendelea mkoani Dodoma na kuwakutanisha wajumbe kutoka Halmashauri 185 za Tanzania Bara. Mkutano huo umefanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa akipita kwenye mabanda ya maonyesho kabla ya kuanza kwa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 34 wa Jumuiya hiyo unaoendelea mkoani Dodoma na kuwakutanisha wajumbe kutoka Halmashauri 185 za Tanzania Bara. Mkutano huo umefanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma. 
Waziri Mkuu aliwaeleza watendaji wa Shirika la Nyumba kuwa NHC inafanya kazi nzuri na kama Serikali haina wasiwasi na Shirika hilo, pia ameugusia mradi wa Iyumbu na kusema unafanya vizuri.

Wajumbe mbalimbali wa mkutano Mkuu wa 34 wa Jumuiya hiyo unaoendelea mkoani Dodoma na kuwakutanisha wajumbe kutoka Halmashauri 185 za Tanzania Bara wakifuatilia mada mbalimbali. Mkutano huo umefanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Majaliwa na  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Selemani Jafo wakikaribishwa wakati wa kuanza kwa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 34 wa Jumuiya hiyo unaoendelea mkoani Dodoma na kuwakutanisha wajumbe kutoka Halmashauri 185 za Tanzania Bara. Mkutano huo umefanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) Bw. Gulma Hafeez Muccadam akisoma risala yao mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Majaliwa wakati wa kuanza kwa hafla ya ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 34 wa Jumuiya hiyo unaoendelea mkoani Dodoma na kuwakutanisha wajumbe kutoka Halmashauri 185 za Tanzania Bara. Mkutano huo umefanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre Jijini Dodoma.

Mkutano  huo wa Jumuiya ya Mamlaka za Mitaa ALAT,unafanyika mkoani Dodoma  umewashirikisha Wenyeviti,Mameya, Wakurugenzi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa, watendaji kutoka OR-TAMISEMI pamoja na wadau mbali mbali wa maendeleo waliopata mialiko ya mkutano huo.
PMO_8974
Kassim Majaliwa akifungua Mkutano Mkuu wa 34 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT)  kwenye ukumbi wa Jakaya  Mrisho Kikwete jijini Dodoma Septemba 27, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_8959
Kassim Majaliwa akifungua Mkutano Mkuu wa 34 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa (ALAT)  kwenye ukumbi wa Jakaya  Mrisho Kikwete jijini Dodoma.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...