Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mathias Kabundugulu akisalimiana na watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa. Pichani akiwa anasalimiana na Richard Chifunda wa Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mathias Kabundugulu akitia saini katika kitabu cha wageni ofisini kwa Mkurugenzi Mkuu, wakati alipofanya ziara makao makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa leo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mathias Kabundugulu akikaribishwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Manyama Maagi makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa wakati Kiongozi huyo alipotembelea Ofisi hizo katika ziara yake ya kulitembelea Shirika na kufahamu utendaji kazi unavyoendelea.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Manyama Maagi akizungumza wakati Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mathias Kabundugulu alipofika makao makuu kuangalia utendaji kazi wa Shirika.
Baadhi ya Watendaji katika Menejimenti ya NHC wakiwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mathias Kabundugulu wakati alipofanya ziara makao makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa leo.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Manyama Maagi akizungumza wakati Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mathias Kabundugulu alipofika makao makuu kuangalia utendaji kazi wa Shirika.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mathias Kabundugulu akisalimiana na watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa. Pichani akiwa anasalimiana na Meneja Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu, Arden Kitomari huku Kaimu Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa NHC, Itandula Gambalagi akishuhudia.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mathias Kabundugulu akisalimiana na watendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa. Pichani akiwa anasalimiana na Kaimu Wakurugenzi wa NHC.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Manyama Maagi akijadiliana jambo na Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani, Abdallah Migila.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mathias Kabundugulu akisindikizwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Felix Manyama Maagi makao Makuu ya Shirika la Nyumba la Taifa wakati Kiongozi huyo alipotembelea Ofisi hizo katika ziara yake ya kulitembelea Shirika na kufahamu utendaji kazi unavyoendelea.
Timu ya Menejimenti ya Shirika la Nyumba la Taifa ikiwa katika picha ya pamoja baada ya kuondoka kwa Naibu Katibu Mkuu.
No comments:
Post a Comment